Kakofia Keusi
Zusatztext
KAKOFIA KEUSIKakofia Keusi ni mtoto anayeishi barani Afrika.Siku moja, alitumwa na mama yake kwenda kijiji cha jirani kuwapeleka chakula bibi na babu yake, kwa sababu walikuwa wagonjwa.Kakofia Keusi alimkubalia mama yake na kuondoka.Alipita njia ya mkato ya mwituni ili afike upesi.Je, Kakofia Keusi atafanikiwa kufika kwa bibi na babu yake salama?Safiri naye ili ujionee mwenyewe jinsi anavyoupita mwitu huo.
Autorenportrait
Anna Samwel:KUHUSU MWANDISHIAnna Samwel ni mwandishi wa vitabu vya hadithi za watoto kwa lugha ya Kiswahili, Kingereza na Kijerumani. Pia ni mwandishi wa riwaya za watu wazima.KAKOFIA KEUSI ni kitabu chake cha kwanza cha hadithi za watoto.Kitabu hiki kimefasiriwa katika lugha ya Kingereza:LITTLE BLACK CAPPYKwa Kijerumani:SCHWARZKÄPPCHENKwa Kifaransa:LE PETIT CHAPERON NOIR
Weitere Details
Erschienen: 21.07.2020
Umfang: 52 S., 8.49 MB
Sprache: SWA
ISBN/EAN: 9783749405060
Umbreit-Nr.: 816853
